Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » TIBA SAHIHI YA TATIZO LA TATIZO AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
«
Next
UMECHOSHWA NA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI / MATATIZO YA MIFUPA ( OSTEOPOROSIS )
»
Previous
FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI ( GENITAL WARTS & SKIN )

TIBA SAHIHI YA TATIZO LA TATIZO AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ( April 25, 2016 TIBA SAHIHI YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME / TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Upungufu wa nguvu za kiume ni Ile Hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na pia hushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasahaTatizo hili linawakabiri wanaume wengi duniani karibia 46% ya wanaume wanasumbuliwa na tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuwa na athari nyingi sana na kusababisha ndoa za watu kuvunjika na idadi ya uchepukaji kuongezekaMara nyingi mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume anakua Hana uwezo wa kumridhisha mwanamke Kwenye tendola ndoa na hivyo kuwa chanzo cha mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume ni vingi sana navyo ni÷ 1)UPIGAJI PUNYETO MARA KWA MARA 2)MSONGO WA MAWAZO 3)MAZINGIRA YASIYORIDHISHA KUFANYA TENDO LA NDOA 4)ULEVI ULIOKITHIRI 5)KUPOOZA/KUUGUA STROKE 6)KUUGUA KISUKARI KWA MUDA MREFU 7)ULAJI MBOVU WA VYAKULA HASA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI 8)KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI eg, viagra, estrogen, diuretic, tranquillizers, digoxin, NK 9)KUUMIA KWA KINENA (GROIN) 10)KIWANGO KIDOGO CHA TESTERON 11)KUUGUA CHANGO LA KIUME AU NGIRI ~ DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEMwanaume anayekabiliwa na tatizo Hilo la nguvu za kiume huwa na Dalili zifuatazo »»HUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA ~huwa Hanauwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa, tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo »»KUTOKUA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME ~Hali hii hutokea kutokana na kutokuwepo kwa mzunguko wa damu wa kutosha Kwenye uume »»UUME HUSINYAA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~uume wa mwanaume husinyaa na kuwa mdogo na kurudi ndani hivyo huwa Hana uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa, Hali hii husababishwa na upigaji punyeto kwa muda mrefu »»KUFIKA KILELENI MAPEMA ~mwanaume hushindwa kufanyamapenzi kwa dakika hata 15 hivyo huwahi kupeez ndani ya dakika 5 »»KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA ~mwanaume hushindwa kurudia mzunguko wa pili hivyo akifika mzunguko wa kwanza anakuwa Hana uwezo wa kuendelea, Hali hii husababishwa na kutokua na msukumo wa damu wa kutosha =»MADHARA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME~KUSABABISHA KUPATA UKIMWI ~hii hutokana na wanawake kutokuweza kuvumilia tatizo hili na hivyo kutoka nnje ya ndoa kutimiziwa haja zake~ »»KUWA MLEVI ~Mara nyingi wanaume wenye tatizo hili hukata Tamaa mapema na kuamua kujihusisha na pombe kwa madai ya kupunguza stress~ »»KUVUNJIKA KWA MAHUSIANO AU NDOA ~mwanamke hushindwa kuvumilia tatizo hili na hivyo kuamua kuvunja mahusiano au ndoa kwa madai ya kutopewa haki yake ya msingi~ »»KIFO ~baadhi ya wanaume hufikia hatua ya kujiua kutokana na kusumbuka sana na tatizo hili kwa muda mrefu hvyo hujionaHana thamani JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU Jambo zuri ni kuzingatia afya yako na kujiwekea balance diet »KULA UGALI WA DONA KILA SIKU »KUNYWA SUPU YA PWEZA MARA KWA MARA »FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA »EPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA »ACHA KUJIPIGA PUNYETO »ACHA KUTUMIA DAWA ZA KEMIKALI (VIAGRA) »PUNGUZA KITAMBI NA MWILI Makala hii imeandaliwa na NICKSON  MORI  Whatsapp/Call/Smm +255 0753606603  N.B;Ndugu msomaji wa blog hii kama una tatizo hili au una ndugu/jamaa mwenye tatizo hili unaweza kumpa namba yangu ya simu akawasiliana nami kwa ushauri na msaada

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
UMECHOSHWA NA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI / MATATIZO YA MIFUPA ( OSTEOPOROSIS )
»
Previous
FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI ( GENITAL WARTS & SKIN )

No comments

Leave a Reply