Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI ( GENITAL WARTS & SKIN )
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) January 21, 2016 Habari rafiki, natumaini mnaendelea vizuri leo napenda nizungumzie tatizo la kutokewa vinyama katika sehemu za siri na sehemu mbalimbali za mwili, (Masundosundo /vigwaru /genital warts & skin) ~MASUNDOSUNDO /VIGWARU /GENITAL WARTS & SKIN NI NINI?? ~NI vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbalimbali za mwili, ~Ugonjwa huu unaenezwa kwa njia ya kujamiiana (SEXUAL TRANSMITTED INFECTION) STI) CHANZO CHA TATIZO HILI ~Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS ( HPV) hata hivyo Kuna Aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanaosababisha Masundosundo katika sehemu tofauti kama vile mkono, mgongoni, mguuni nk pia HPV huweza kasababisha saratani ya shingo ya kizazi(CARCINOMA OF THE CERVIX) kwa wanawake, na pia huweza kusababisha saratani ya sehemu ya haja kubwa (ANAL CANCER) kwa jinsia zote mbili ~Ugonjwa huu wa Masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI hivyo watu wenye wapenzi wengi, wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo na haja kubwa, wajawazito, watumiaji wakubwa wa sigara na pombe, watu wenye upungufu wa kinga mwilini wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu DALILI ZA MASUNDOSUNDO ~mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida. ~mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo ~kutokwa na uchafu mzito sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo ~kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa NOTED :mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambikiza wenza wao MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA HUU ~matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi iwapo tatizo halijachelewa kupatiwa tiba, matibabu hutolewa kwa kufuata utaratibu wa Majibu yaliyopatikana katika vipimo mbalimbali, matibabu hayo huweza kuwa ya kuviondoa vinyama kwa kufanya operations au kutumia dawa, hata hivyo njia ya operation sio nzuri sana kwasababu huweza kutengeneza madhara zaidi na uwezekano mkubwa wa kupata kansa hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa ambazo zitatibu na kuondoa tatizo hilo na mgonjwa kupona kabisa ila cha kuzingatia ni kwamba ugonjwa huu ni wa kuambikiza hivyo inashauriwa wenza wote kupata matibabu hata kama atajihisi hana dalili yoyote ni vyema akafanya vipimo ili kujihadhari kabla ugonjwa haujaleta madhara zaidi. ~Waswahili wanasema bora kinga kuliko matibabu hivyo ni vyema ukajiepusha na ugonjwa huu kwa kuepuka yafuatayo 👉EPUKA KUWA NA WAPENZI WENGI 👉EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE 👉ACHA ORAL SEX UKISHINDWA BASI KUWA NA MPENZI MMOJA TU AMBAYE NDIO UNAWEZA KUMNYONYA SEHEMU ZAKE ZA SIRI ZINGATIA MAPENZI UJUZI LAKINI AFYA YAKO NI MALI ZAIDI WADADA/WAKAKA WENGI MMEKUA MKITAKA KUWARIDHISHA KILA MNAOKUTANA NAO KIMWIL KWA KUWANYONYA SEHEMU ZA SIRI KITU AMBACHO KINAKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA UGONJWA HUU NA KANSA YA KOO. 👉EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, SIGARA NA POMBE KUPITA KIASI NOTED :NDUGU RAFIKI ugonjwa huu una madhara makubwa unaweza kusababisha kansa ya kizazi, kansa ya uume, kansa sehemu ya haja kubwa NK hivyo hakikisha unapata matibabu ya uhakika iwapo una tatizo hili au ikiwa hauna jitahid kujiepusha na vihatarishi vya ugonjwa  imeandaliwa na NICKSON  MORI   USISAHAU KUSHARE, KUCOMENT, KULIKE 0753606603  whtssp  /  sms 

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply