Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » UMECHOSHWA NA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI / MATATIZO YA MIFUPA ( OSTEOPOROSIS )
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

UMECHOSHWA NA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI/ MATATIZO YA MIFUPA ?(OSTEOPOROSIS) May 3, 2016 UMECHOSHWA NA MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI/ MATATIZO YA MIFUPA ?(OSTEOPOROSIS) Huu ni ugonjwa ambao hutokea ambapo uimara wa mifupa unapopungua hivyo kuwa na asilimia uwezrkano mkubwa wa kuweza kupatampasuko au kuvunjika kwa urahisi na mara nyingi ugonjwa huu huambatana na maumivu makali ya mifupa. Ugonjwa huu unaweza kutokea iwapo kutakuwa na mabadiliko ya hormoni,upungufu wa madini kama calicium au vitamin D. Mifupa ina madini ambayo hutumika mwilini na kurejeshwa ili kuufanya mfupa uweimara na kuujenga, endapo yatatumika zaidi kuliko kurejeshwa katika mifupa,mifupa hudhoofu na hukosa uimara na hupunguza uzito.(normal peak bone mass is greater than normal bone loss) Uzito wa mfupa kwa kawaida kwa mtu kijana huwa ni 2.5 standard deviations uzito chini ya huo mtu anaweza kupata (Osteoporosis) tatizo la mifupa. Utajua uzito huo kwa vipimo maalumu yani kwa dual energy X-ray absorptiometry. Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea katika uti wa mgongo (huweza kusababisha mgongo kupinda na kuuma), hutokea katika Magoti,katika nyonga na kifuani. VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA MATATIZO YA MIFUPA (OSTEOPOROSIS) -Upungufu wa hormone za Estrogen hii huwapata sana wenye menopause. -Ulevi -Upasuaji wa kuondolewa ovaries -Magonjwa ya figo -(Hyperthyroidism) tatizo la utengenezwaji wa thyroid homoni nyingi kipita kiasi na hivyo kusababisha mwili usifanye kazi vizuri -(Anorexia)uzito Mdogo kupita kiasi unao sababishwa na tabia ya kujinyima kula kupita kiasi,kufanya mazoezi kupita kiasi kwa kuogopa kunenepa au kutaka mtu abaki akiwa na kilo chache sana ukilinganisha na urefu wake. -baadhi ya matibabu,madawa yenye kemikali(chemotherapy) kama steroids,proton pump inhibitor na anti seizure medications -Uvutaji wa sigara -kutokufanya mazoezi ya viungo vya mwili KINGA ZA MATATIZO YA MIFUPA (OSTEOPOROSIS) ~Zingatia ulaji mzuri hasa utotoni ~Epuka matibabu yenye kutumia kemikali ~Pendelea ulaji mzuri wa vyakula vya asili vyenye madini yakutosha na muhimu yanayo jenga mifupa ~acha au punguza matumizi ya pombe ~Fanya mazoezi ya kutosha na kunywa maji mengi ya kutosha MADHARA YANAYOWEZA KUSABABISHWA NA TATIZO HILI Maumivu makali ya mifupa katika Magoti,uti wa Mgongo,mabegani,kifuani au katika nyonga ~Kupinda Mgongo hasa wakati wa uzeeni ~Kuvunjika mifupa kwa urahisi MATIBABU YA OSTEOPOROSIS ~Kula kwa wingi chakula chenye kiasi kikubwa cha vitamins D na chenye madini ya calcium mfano maziwa,ubuyu,moringa Oleifera leaves n.k ~Tumia Dawa asili zinazofanya homoni za estrogens kuwa sawia(kwa wanawake) ~Tumia Dawa zitakazo saidia kukupatia madini ya calicium ya kutosha na itakayo weza kuimarisha mifupa. ~Mafuta ya samaki na samaki wa maji baridi kwa wingi upate fatty acid. ~Mafuta ya nazi nimazuri kwa mifupa. kwa maelezo zaidi na matibabu ya uhakika ya matatizo ya mifupa, na matatizo mengine kama Matatizo ya uzazi,upungufu wa nguvu za kiume,kukosa kwa  ushauri  wasiliana  nasi  kwa  no  0753606603  whtssp  /sms

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply