*SABABU ZA MAGOJWA YA FIGO. JIHADHARI NA ONYEKA!.*
Raia wa Ghana wanazidi kufa kwa matokeo ya ugonjwa wa Figo.
*JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:*
*1.Usichelewe kwenda HAJA.* Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
*2. Kula Chumvi kupita kiasi.* Inatupasa kula Chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.
*3. Kula nyama kupita kiasi.*
Protini ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako. Mmeng'enyo wa Protini unazalisha amonia- sumu dutu ambayo ina uharibifu mkubwa kwa figo zako. Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.
4. *Unywaji mwingi wa "Caffeins".*
Caffein hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa, Redblue n.k. Hupandisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi, Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.
*5. Kutokunywa maji.*
Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi ya kutosha, sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoa kwa njia ya figo. *** Kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kila siku.
Kuna njia rahisi ya kuangalia kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako; Wepesi wa rangi, ndiyo vzuri.
*6. Kuchelewa matibabu.*
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara. Wapendwa na wapenzi wangu, hebu tujisaidie wenyewe... Shirikisha wengine, kama unajali. ----------------
*Pia epuka vidonge hivi, ni hatari sana:*
D- baridi*
Vicks Action- 500*
Actified*
Coldarin*
Cosome*
Nice*
Nimulid*
Cetrizet- D
Hivi vidonge vina Phenyl propanol- amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani.
MWISHO... Tafadhali, kabla ya kufuta, msaidie rafiki yako kwa kumpitishia hii..!
*Inaweza kumsaidia mtu!*
Wasambazie wengi kwa kadiri uwezavyo.
Shirikisha ujumbe huu kwa mpendwa wako.
*Maonyo muhimu ya Afya*
1. Jibu (pokea) simu wito na sikio la kushoto.
2. Usinywe dawa zako kwa maji baridi....
3. Usile milo mizito baada ya saa 11 jioni.
4. Kunywa maji vuguvugu mengi asubuhi na kiasi usiku. Usinywe maji baridi kamwe.
5. Muda bora wa kulala ni kutoka saa 4 usiku hadi saa 10 Alfajiri.
6. Usilale mapema baada ya kumeza dawa au baada ya mlo. Usiku, Kula chakula laini.
7. Usipokee simu yako ikiwa haina chaji. Wakati huo mionzi huwa ina nguvu mara 1000 .
Je, unaweza kuwasambazia watu unao wajali?
Mimi nimeshafanya kwako....!!.
Health
Tafadhali Share na marafiki story hiiPearl soap kiboko ya chunusi na madoa na mabaka ya kuungua na jua tumia sabuni hii leo kwa matokeo Mazur ya ngozi yako wasiliana nasi kwa no 0753606603 whtssp nickson health conlt
Health
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiFAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) January 21, 2016 Habari rafiki, natumaini mnaendelea vizuri leo napenda nizungumzie tatizo la kutokewa vinyama katika sehemu za siri na sehemu mbalimbali za mwili, (Masundosundo /vigwaru /genital warts & skin) ~MASUNDOSUNDO /VIGWARU /GENITAL WARTS & SKIN NI NINI?? ~NI vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbalimbali za mwili, ~Ugonjwa huu unaenezwa kwa njia ya kujamiiana (SEXUAL TRANSMITTED INFECTION) STI) CHANZO CHA TATIZO HILI ~Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS ( HPV) hata hivyo Kuna Aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanaosababisha Masundosundo katika sehemu tofauti kama vile mkono, mgongoni, mguuni nk pia HPV huweza kasababisha saratani ya shingo ya kizazi(CARCINOMA OF THE CERVIX) kwa wanawake, na pia huweza kusababisha saratani ya sehemu ya haja kubwa (ANAL CANCER) kwa jinsia zote mbili ~Ugonjwa huu wa Masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI hivyo watu wenye wapenzi wengi, wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo na haja kubwa, wajawazito, watumiaji wakubwa wa sigara na pombe, watu wenye upungufu wa kinga mwilini wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu DALILI ZA MASUNDOSUNDO ~mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida. ~mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo ~kutokwa na uchafu mzito sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo ~kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa NOTED :mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambikiza wenza wao MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA HUU ~matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi iwapo tatizo halijachelewa kupatiwa tiba, matibabu hutolewa kwa kufuata utaratibu wa Majibu yaliyopatikana katika vipimo mbalimbali, matibabu hayo huweza kuwa ya kuviondoa vinyama kwa kufanya operations au kutumia dawa, hata hivyo njia ya operation sio nzuri sana kwasababu huweza kutengeneza madhara zaidi na uwezekano mkubwa wa kupata kansa hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa ambazo zitatibu na kuondoa tatizo hilo na mgonjwa kupona kabisa ila cha kuzingatia ni kwamba ugonjwa huu ni wa kuambikiza hivyo inashauriwa wenza wote kupata matibabu hata kama atajihisi hana dalili yoyote ni vyema akafanya vipimo ili kujihadhari kabla ugonjwa haujaleta madhara zaidi. ~Waswahili wanasema bora kinga kuliko matibabu hivyo ni vyema ukajiepusha na ugonjwa huu kwa kuepuka yafuatayo 👉EPUKA KUWA NA WAPENZI WENGI 👉EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE 👉ACHA ORAL SEX UKISHINDWA BASI KUWA NA MPENZI MMOJA TU AMBAYE NDIO UNAWEZA KUMNYONYA SEHEMU ZAKE ZA SIRI ZINGATIA MAPENZI UJUZI LAKINI AFYA YAKO NI MALI ZAIDI WADADA/WAKAKA WENGI MMEKUA MKITAKA KUWARIDHISHA KILA MNAOKUTANA NAO KIMWIL KWA KUWANYONYA SEHEMU ZA SIRI KITU AMBACHO KINAKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA UGONJWA HUU NA KANSA YA KOO. 👉EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, SIGARA NA POMBE KUPITA KIASI NOTED :NDUGU RAFIKI ugonjwa huu una madhara makubwa unaweza kusababisha kansa ya kizazi, kansa ya uume, kansa sehemu ya haja kubwa NK hivyo hakikisha unapata matibabu ya uhakika iwapo una tatizo hili au ikiwa hauna jitahid kujiepusha na vihatarishi vya ugonjwa imeandaliwa na NICKSON MORI USISAHAU KUSHARE, KUCOMENT, KULIKE 0753606603 whtssp / sms
Health
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiSPIRULINA PLANTESIS Ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa mimea ya baharini ijulikanayo Kama Arthrospira Plant,kidonge Kimoja cha spirulina ni sawa na mtu aliyekula kilo moja ya matunda na kilo moja ya mboga za majani. KAZI YA SPIRULINA 1-Huongeza CD4 kwa wenye HIV 2-Ina control high blood pressure 3-Husaidia kwa watumiaji wa computer na simu kwa muda mrefu. 4-Inaondoa mafuta mwilini. 5-Inalinda mwili kupata Kansa. 6-Inaondoa sumu Kwenye damu. 7-Huondoa ugonjwa wa kusinzia. 8-Ina vitamin B1,B2,B3,B6 na B9 pia ina vitamin C,D,A, na K 9-Inasaidia kwa wajawazito kumpatia mtoto virutubisho tumboni. 10-Inasaidia kwa watu wenye aleji ya kitu chochote. 11-Huongeza kinga ya mwili (Immunity) wasiliana nasi kwa no 0753606603
Health
Tafadhali Share na marafiki story hiiNEPBABY DISPOSABLE BABY DIAPERS Ni aina ya DIAPERS za watoto kutoka Kampuni ya Neptunus zenye ubora wa hali ya juu sana. Matumizi Ya Diapers Yamerahisishia Wamama Wengi Hasa Walioajiriwa Kutokana Na Ufinyu Wa Muda wa kufua .Lakini Wakati Mwingine Hizi Diapers Zimeleta Matatizo Mengi Kwa Watoto Hasa Kutokana Na Aina Ya Malighafi Iliyotumika Kutengenezea. Diapers zingine hazipitishi hewa hivyo husababisha Bacteria aina Anaerobic Bacteria kuzaliwa.Hawa ni Bacteria ambao wanazalishwa katika mazingira ambayo hewa ya Oxygen haipiti matokea yake watoto wanapata Ugonjwa Kwenye Njia Ya Mkojo Maarufu Kama U.T.I,Kuwashwa Na Fungus. UBORA WA NEPBABY DIAPERS Nepbaby disposable diapers zimetengenezwa kwa malighafi ya pamba laini ambayo huruhusu hewa kupita vizuri lakini pia kufanya mtoto kuwa na furaha wakati wote kwasababu haimchubui,wala kusababisha muwasho wa aina yoyote.zifuatazo ni faida zake: 1.ALOE: Nepbaby diapers zina aloe ambayo humlinda mtoto na maradhi ya aina mbalimbali ikiwemo muwasho,fungus,u.t.i na kuzuia bacteria wanaozaliwa kwenye unyevu nyevu na hasa mazingira ambayo hewa ya oxygen inakosekana. 2.INDICATOR(KIASHIRIA): Nepbaby diapers zina indicator(kiashiria) ambayo huonyesha kama mkojo umejaa na inatakiwa kubadilishwa,hivyo kumfanya mwangalizi wa mtoto kutambua haraka kuwa anatakiwa kubadilisha. 3.POLYMERS NA PAMPBA LAINI: Zimetengenezwa kwa malighafi zenye uwezo wa kufyonza mkojo au maji maji kwa wingi hivyo kumwacha mtoto kuwa mkavu na kumuepusha na muwasho wa aina yoyote na kuwa huru. 4.ZINAONDOA HARUFU MBAYA:Zinamkaa mtoto vizuri na pembeni iko na malighafi inayozuia mkojo kupita na kuondoa harufu mbaya ( foul smell). 5. UTUNZAJI WA MUDA: Zinamsaidia mama kupata muda wa kufanya shughuli zingine za kiuchumi hasa katika swala la utafutaji ::::::nitafute kwa no 0753606603
Health
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth - Life Style
Tafadhali Share na marafiki story hiiHealth - Life Style
Tafadhali Share na marafiki story hiiFor more than a week now lawmakers in Parliament have been haggling in an on and off debate on the suffering of patients stranded in public hospitals due to shortage of medicine.
The crux of the matter, it is explained, is the government’s failure to pay over 90bn/- it owes the Medical Supplies Department (MSD).
To redress this situation, some of the MPs last week went to the extent of proposing that the current Bunge sessions be postponed and the money accruing from their allowances, well to the tune of 100m/- to each, daily, be channelled to buy medicines for the needy patients.
Sensing that their clamours were yet to be heard, on Monday, they came up a bit louder, demanding government’s emergency plan to be put in place to save Tanzanians suffering and dying due to the shortage of medicines in hospitals.
This showdown however has not been in the failure to supply medicines alone.
Constructions of some buildings meant to boost the state of health delivery in the country have often gone unfinished for years.
Irked by the situation, MPs told the august House on yesterday that the leading regional hospital in the designated capital of Dodoma, needs only 600m/- to finalise construction of a maternal and child health building that has remained dormant for at least eight years.
Yet people have always been denied the services that would have been offered by such a facility were it to be completed on time.
Well such are some of the burgeoning challenges that some of our people have to grapple with because of the manner in which we manage our institutions.
But one may ask, if a leading public hospital like Muhimbili National Hospital in the county’s blossoming commercial hub and a regional hospital in the state’s designated capital would go without the basic health needs like medicines, beds and equipment, then how could the situation in dispensaries and health centres in the villages look like?
We are compelled to ask such difficult questions particularly when keeping in mind that 80 per cent of Tanzanians live in rural areas where medical facilities are nonexistent and where they exist, they have always gone without medical supplies.
Apparently, the problem that the parliament, government and MSD are haggling about is not that medicines are not available in country.
They are galore. The state run distributor, Medical Store Department (MSD) has only refused to release them on grounds that the government should pay 90bn/- owed to the former. The argument is fecund and principled given the prevailing market circumstances.
There is no way out, but the government should pay. But while it is aware of this it has only embarked on half-baked measures which may in the final analysis ruin the very rationale of medicine supplies by MSD.
Bewilderment come to the reign when the same hospitals that lack medicines, staff and even beds are the very ones told by the government to give up the little revenue they garner from cost sharing.
The question is all arguments put forward, who should therefore rescue the patients from this quixotic predicament?
It looks as if the way the government is taking up this matter, there no ready solutions to it at the moment. But shall we be made to believe that truly there are no solutions to this problem?
We believe there are. The government should immediately source for money and pay the debt to have the patients secure medical supplies. This should not be allowed to take long.
Entertainment - Health - Life Style - News - Technology
Tafadhali Share na marafiki story hii11:23 A.M. PST -- Both window washers have been rescued. NY firefighters broke open a window and pulled the workers to safety. The FD just updated its Twitter feed, reporting "scaffolding emergency, under control."
Two window washers are stuck on a scaffolding outside the 68th floor of 1 World Trade Center in New York City ... and the FDNY is staging a rescue.
The workers were reportedly heading to the top of the building at around 12:42 PM ET when their scaffold's motors or cables broke.
The FDNY will reportedly break through the glass of the building in order to get to the workers. More than a dozen FDNY units have been dispatched to the scene.







Recent Comments