ARSENAL YAHAMIA KWA MAHREZ Arsenal wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa Riyad Mahrez 25, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili Jamie Vardy, 29. (Sun) Washika bunduki hao wanaimani Vardy atasaini kabla ya michuano ya Euro 2016 haijaanza ifikapo Ijumaa.
Home
»
Sports
» ARSENAL YAHAMIA KWA MAHREZ ARSENAL wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa
Tagged with: Sports
About Arusha99
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments