Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

SENIOR SUPPLIES OFFICER Source the Daily news, June 21, 2016 STAMIGOLD COMPANY LIMITED. EMPLOYMENT OPPORTUNITY ‘STAMIGOLD Company Limited -Biharamulo Mine is a subsidiary company of the State Mining Corporation (STAMICO) operating a gold mine. The Mine is located in the Biharamulo Forest Reserve South West of Mwanza in Kagera Region. In order to run the mine effectively and efficiently, the Company invites applications from qualified candidates to fill the existing vacancy as detailed below THE ROLE: Work Station: Biharamulo Mine Site Work Roster: 6/3 (42 days on, 21 days off) Contract Duration: Not exceeding two years, subject to renewal SENIOR SUPPLIES OFFICER (01) The Senior Supplies Officer-will be reporting to the Procurement Superintendent and should ensure effective supplying of goods and services in response to internal needs by providing support, ,guidance and professional advice within the requirements of the Procurement and Supplies Professionals and Technician Board (PSPTB) and Public Procurement Regulatory Authority (PPRA). DUTIES AND RESPONSIBILITIES • Head of Warehouse /Supervisor • Dealing with day to day procurement and supply service. • Day to day management of the warehouse team. • To Prepare documents like draft contracts, materials or goods requisitions. • Maintenance of agreements, purchase and check request. • Plan and execute an efficiency supplies management system of the company • Reviews policies pertaining to materials management • Provide Management and staff training on procurement, warehouse issues. • Follow-up orders and ensure delivery on time • Reconcile all stores records with those of accounts for audit. • Conducting market and product research and cost analysis. • Analysing supplier’s terms and conditions and revise to ensure compliance with procurement regulations. • Assisting in the developing and recommending various operational policies and procedure activities within the framework of procurement regulations. . • Coordinating with the requisitioning department to obtain required administrative information and/or documents necessary for processing the procurement. • Addressing specific purchasing needs and specifications with user department. • Preparing periodic and special reports and maintains current data on suppliers and new products as well as appropriate records and form. • Check tally records and reconcile the stores and advise on the best and economic ways of disposing off of obsolete stores. • To undertake such other tasks as may be reasonably requested by your Supervisors. CORE COMPETENCE Able to demonstrate highest degree of integrity. Self-driven and able to work with minimal supervision . Able to deliver excellent results while working under pressure. Computer literacy is of high importance. QUALIFICATIONS: Holder of Bachelor degree or Advanced Diploma and Certified Procurement and Supplies Professional (CPSP) or any other equivalent qualification from recognized institutions. Applicants must be registered with Procurement and Supplies Professional and Technician Board (PSPTB) in Approved Category. A minimum of three (03) years of working experience after CPSP in a senior level APPLICATION INSTRUCTIONS: Interested applicants meeting the above job requirements should send their applications with their detailed curriculum vitae (CV), ID which may either be a photocopy of birth certificate or Vote ID or Travel Passport or National ID, copies of academic qualifications and provide names of three (03) referees with their contact postal address, e-mail and telephone numbers. Further to the above, Interested applicants meeting the job requirements should write the position title in subject heading on the email; and applications should reach the under mentioned not later than July 05, 2016. Mine General Manager P.O. Box 78508 Dar es salaam
Taifa dogo kwa maana ya idadi ya watu, Iceland limeicharaza Austria kwa goli 2 - 1 katika mchuano wa soka wa Euro 2016, na kufuzu katika hatua ya 16 bora . Iceland iliiadhibu Austria mabao mawili kwa moja na sasa watakutana na England. Mtangazaji wa mpira kutoka Iceland alishindwa kujizuia pale ambapo Arnor Ingvi alizitikisa nyavu katika dakika za majeruhi. Wakati Mtangazaji wa Iceland amefurahi kweli kweli kwa Timu yake kufuzu, Mtangazaji Mreno yeye anaugulia maumivu ya moyo kwa tukio alilofanyiwa na Ronaldo na kumnyang'anya kipaza sauti na kukitupa mtoni.
Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuwasili usiku huu kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Serengeti Boys. Mchezo wa timu hizi mbili utachezwa Juni 26, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hiyo inaingia wachezaji na pamoja na viongozi 25, waamuzi wanne kutoka Ethiopia, ndio watakaochezesha mchezo huo Mchezo wa marudiano kati ya Serengeti Boys na Shelisheli utachezwa Julai 2, huko Shelisheli. Mchezo huo ni wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 michuano itayofanyika nchini Madagasca.

Liverpool imeanza kumwinda mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane katika uhamisho wa kitita cha pauni milioni 30. Mkufunzi wa klabu hiyo Jurgen Klopp anamtaka mchezaji huyo wa miaka 24 kutoka Senegal kuimarisha safu ya mashambulizi na anapanga kuufanya uhamisho wake kuwa wa kihistoria katika kilabu hiyo. Liverpool na Southampton zitaendelea kufanya mazungumzo kuhusu mpango huo huku kitita hicho cha uhamisho kikiwa swala muhimu. Southampton wanadaiwa kutaka pauni milioni 40 kwa mchezaji huyo ambaye alifunga mabao 11 katika mechi 37 alizocheza msimu uliopita. Kitita hicho ni pauni milioni 10 zaidi ya kile kinachopendekezwa kutolewa na Liverpool swala ambalo litahitaji mazungumzo zaidi kabla ya mpango huo kuidhinishwa. Image copyrightAP Image caption Jurgen Klopp Southampton vilevile iko katika harakati za kumsajili mrithi wa Ronald Koeman aliyeelekea kujiunga na klabu ya Everton hatua ambayo huenda ikachelewesha mpango huo. Klopp alipendezwa na Mane ambaye alihusishwa sana na uhamisho wa Old Trafford wakati wa Louis Van Gaal wakati alipofunga mara mbili baada ya Southampton kutoka nyuma 2-0 na kuiadhibu Liverpool 3-2. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshiriki

Timu ya taifa ya soka nchini Ufaransa imeshinda mechi ya ufunguzi wa dimba la kombe la bara Ulaya baada ya kuinyuka Romania, mabao 2-1, katika uwanja wa Stade de France mjini Paris. Dimitri Payet wa Ufaransa ambaye anaichezea klabu ya West Ham nchini Uingereza alifunga bao la ushindi katika muda wa lala salama. Mshambuliaji wa Ufaransa Olivier Giroud alifunga bao la kwanza kwa kichwa muda mfupi tu baada ya kipindi cha pili kung'oa nanga, na baadaye Romania wakazawazisha kwa mkwaju wa penalti kutoka kwa Bogdan Stancu. Image copyrightGETTY Image caption Euro2016 Usalama umeimarishwa mjini Paris na haswa karibu na uwanja wa Stade de France, ambapo shambulizi baya la kigaidi lilitekelezwa mwaka ulopita.

KIPA Benedictor Tinocco atatolewa kwa mkopo, wakati kiungo Salum Abdul Telela hataongezewa Mkataba Yanga. Habari za ndani ambazo BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE imezipata kutoka Yanga zimesema kwamba maamuzi hayo yamepitishwa na kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm. “Tinocco atatolewa kwa mkopo sehemu ambayo anaweza kupata nafasi ya kucheza, ili kama atapandisha uwezo wake, anaweza kurudishwa, lakini Telela kocha (Pluijm)” kimesema chanzo kutoka Yanga. Bado haijafahamika haswa sababu za Telela kutoongezewa Mkataba, licha ya umuhimu wake wa wazi unaoonekana katika timu kwa sababu ni kiraka anayeweza kucheza kama beki wa kulia, kati na nafasi zote za kiungo.  http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js Fundi Salum Telela ameachwa Yanga SC licha ya kwamba bado ni mchezaji muhimu katika timu Na kuhusu suala la nidhamu, Telela anaonekana ni mchezaji mwenye nidhamu, bidii ya mazoezi na kujituma, ambaye wakati wote anapoingizwa uwanjani licha ya muda mwingi kuwa mchezaji wa akiba hucheza vizuri. Wakati huo huo, Yanga inaendelea kusubiri ofa ya kumuuza mshambuliaji Paul Nonga ambaye ameombwa mwenyewe kuuzwa, ili kwenda timu ambayo atakuwa anacheza. Nonga aliyesajiliwa Desemba kwa dau la Sh. Milioni 20 kutoka Mwadui FC ya Shinyanga ameamua kuondoka baada ya kushindwa ushindani wa namba. Washambuliaji chaguo la kwanza wa Yanga ni Mzimbabwe Donald Ngoma na Mrundi, Amissi Tambwe wakati Nonga alikuwa wa akiba pamoja na Malimi Busungu na Matheo Anthony. Tayari Yanga SC imekwishamuacha kiungo kutoka Niger, Issoufou Boubacar ambaye pia alisajiliwa dirisha dogo Desemba.

 Na Sultani Kipingo Mchakato wa uchaguzi mkuu wa klabu Dar es salaam Young Africans Football Club maarufu kama Yanga ulifanyika kwa utulivu na amani na kumalizika salama jana Jumamosi katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salam na matokeo kamili ni kama ifuatavyo: Mwenyekiti Yusuph Manji (pichani juu) alitangazwa mshindi rasmi wa kiti hicho kwa mara ingine tena baada kuzoa kura zote za ndio isipokuwa mbili tu. Yaani alipata kura 1,468 kati ya 1,470 zilizopigwa huku kura mbili tu zikiharibika. Hakukuwa na kura ya hapana. Manji hakuwa na mpizani kwenye nafasi hiyo. Makamu mwenyekiti Clement Sanga ambaye naye pia alikuwa akigombea nafasi hiyo kwa mara ingine kwa kupambana na Titus Osoro, aliibuka mshindi kwa kujizolea kura 1,428 kati ya 1,508 zilizopigwa. Mpinzani wake aliambulia kura 80 tu. Nafasi za 20 za ujumbe ambazo wagombea waliibuka na ushindi katika uchaguzi huo ni: 1. Siza Augustino Lymo (1027) 2. Omary Said Amir (1069) 3. Tobias Lingalangala (889) 4. Salim Mkemi (894) 5. Ayoub Nyenzi (889) 6. Samuel Lucumay (818) 7. Hashim Abdallah (727) 8. Hussein Nyika (770) Idadi ya wajumbe 12 ambao walishindwa kuibuka na ushindi baada ya kura kutotosha ni: 1. David Luhago (582) 2. Godfrey Mheluka (430) 3. Ramadhani Kampira (182) 4. Edgar Chibura (72) 5. Mchafu Chakoma (69) 6. George Manyama (249) 7. Bakari Malima "Jembe Ulaya" (577) 8. Lameck Nyambaya (655) 9. Beda Tindwa (452) 10. Athumani Kihamia (558) 11. Pascal Lizer (178) 12. Silvester Haule (197) http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js

ne 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeendelea kama kawaida, mechi kubwa ya Euro kwa leo ilikuwa ni mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya Urusi, huu ni mchezo ambao ulikuwa unatazamwa na watu wengi kwa Afrika. England walicheza mchezo ambao hadi dakika 90 zinamalizika walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 53, wakati Urusi walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 47, licha ya kuwa England walikuwa wamiliki mpira walilazimishwa sare ya goli 1-1. 

ARSENAL YAHAMIA KWA MAHREZ Arsenal wameanza mazungumzo na Leicester City kuhusu uhamisho wa Riyad Mahrez 25, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili Jamie Vardy, 29. (Sun) Washika bunduki hao wanaimani Vardy atasaini kabla ya michuano ya Euro 2016 haijaanza ifikapo Ijumaa.

Nyota wa muziki wa Rap Jay Z hatimaye amezungumzia kuhusu uvumi unaozunguka ndoa yake na mkewe Beyonce. Katika wimbo wake mpya Jay Z anasema kuwa ndoa yao ina thamani kubwa. Mshororo huo kutoka kwa wimbo unaoitwa ,All the way up,ni jibu kwa vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikizua uvumi kwa wiki kadhaa sasa kuhusu hatma ya ndoa ya wanamuziki hao wawili. Uvumi huo ulianza kufuatia nyimbo katika albamu ya Beyonce ,Lemonade ambayo ilitaja uzinzi .Katika wimbo wake Sorry anaimba kwamba ''ananitaka wakati sipo.Afadhali amuite Becky mwenye nywele nzuri''. Image copyrightGETTY Image caption Jay Z na mkewe Beyonce Hatahivyo Beyonce anamuelezea Jay Z kama ''mume mzuri''. Vilevile anasema kuwa ''angalia saa yangu,angekuwa nyumbani,leo najuta ile siku nilimvisha pete''. Wengi walidhani kwamba Beyonce alikuwa akiimbia kuhusu maisha yake . Lakini Jay Z amekana madai hayo katika wimbo huo mpya.Anasema kuwa 'Lemonade' ni kinywaji na kitasalia kuwa Kinywaji. Image copyrightGETTY Image caption Beyonce Knowles Licha ya Beyonce kuimuimbia Jay Z kibao helo,wakati wa ufunguzi wa ziara yake ya muziki haikutosha kumaliza uvumi unaoendelea kati yao. Alisema kuwa Jay Z ni mume mzuri na akawaambia mashabiki mjini Miami kwamba anampenda kwa dhati
Timu ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’inashuka dimbani leo kuchuana na Malaysia.Mchezo huu utapigwa katika uwanja wa Tilak, Maidan mjini Goa India ikiwa ni mchezo wa kuwania nafasi ya tatu kwenye michuano maalumu ya kimataifa yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka nchini humo (AIF Youth Cup 2016 U-16). Katika mchezo wa kuwania kucheza fainali, Serengeti Boys iliruhusu sare ya mabao 2-2 Malaysia hivyo kufikisha sare ya tatu baada ya kushinda mechi moja.Serengeti Boys imemaliza hatua ya awali ikiwa na pointi sita sawa na Korea Kusini, lakini ikazidiwa bao moja hivyo kushika nafasi ya tatu katika michuano ambayo Marekani iliongoza kwa kufikisha alama nane. India kimeandaa mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kikosi chao kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia kwa Vijana zitakazofanyika nchini humo mwaka 2017. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha m
Kiungo wa timu ya soka ya Scotland Kim Little, ameshinda tuzo ya pili ya mwansoka bora mwaka wa BBC upande wa Wanawake Kim Little, mwenye umri wa miaka ishirini na mitano ambaye anachezea klabu ya Seattle Reign iliyoko nchini Marekani, aliibuka kileleni kwa kura nyingi zilizopigwa na washabiki zake. Kim aliwapiku wachezaji wengine bora walioteuliwa kuingia katika kinyang'anyiro hicho cha kuwania tuzo hiyo kutoka katika nchi za Cameroon,Ufaransa na Marekani. Naye kocha wa timu ya Scotland, Anna Signeul amesema kwamba anakiri kuwa ushindi wa Kim umekuwa wa ajabu kidogo, ambaye anamuelezea Kim kama mchezaji aliyejaaliwa kila kitu ,ikiwemo kasi, mwenye mizania na mwenye kipaji na mbinu za hali ya juu mchezoni. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa Raphael Varane ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya nchi hiyo.Varane hajajumuishwa kwenye kikosi kitachoshiriki michuano ijayo ya Euro itayoanza mwezi June kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja. Pia nyota huyu wa klabu ya soka ya Real Madrid ataukosa mchezo wa fainali ya kombe la klabu bingwa ulaya utapigwa Mei 28 kati ya timu yake na Atletico Madrid. Mchezaji huyu atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu mpaka nne na nafasi yake kwenye kikosi cha taifa imechukuliwa na beki wa Adil Rami, mwenye umri wa miaka 30 anayeichezea timu ya Sevilla ya nchini Hispania. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
Jose Mourinho atajifunza kutoka kwa uzoefu wa Louis van Gaal na kuimarisha mchezo wa klabu ya Manchester United iwapo atachaguliwa kuwa mkufunzi wa timu hiyo. Mazungumzo ya kumleta Mourinho katika uwanja wa Old Trafford yameingia siku yake ya pili. Van Gaal alifutwa kazi siku ya Jumatatu ,siku mbili tu baada ya kushinda kombe la FA. ''Mashabiki katika klabu ya Man United wanahitaji mchezo wa kufurahisha na nina hakika Mourinho atakuja na kuisadia Man United'',alisema aliyekuwa kiungo wa kati wa timu hiyo paul Scholes. Van Gaal aliiongoza United hadi nafasi ya tano katika ligi ya Uingereza lakini alikosolewa kwa mchezo wake usio na mashambulizi huku timu hiyo ikifunga mabao 49 msimu huu.

Mashabiki wa Team ya Gor mahia inchini Kenya wamefungua Tawi LA Team hiyo na kulipa jina,, MAGUFULI BRANCH tawi hilo limekuwa maarufu nakupata mwitikio wa vijana wengi nchini humo,,,,,,,tizama picha hizi

Barcelona Legend Johan Cruyff has rubished claims from former President Joan Laporta that links current Chelsea manager Jose Mourinho and Real Madrid star Cristiano Ronaldo with a move to the Catalan club.
Laporta who is said to be eyeing Barcelona Presidency once again is said to have met super agent Jorge Mendes recently to discuss the issue but according to Cruff, it is highly unlikely.
“I don’t think there’s much to them, they’re just idle comments,” Cruyff told reporters.

“When you talk about something you know nothing about, you end up kicking up a storm for no reason.
“Sport is a game which holds many possibilities, but in this case they are unlikely to be feasible. I don’t imagine that Laporta would bring in Mou and Cristiano.” he concluded.






-
Uganda Cranes returned to winning ways with a 1-0 win over Ghana in a 2015 Africa Cup of Nations (Afcon) qualifier in Kampala on Saturday.

The Cranes had lost their last home game to Togo last month. Defender Savio scored the lone goal in the 10 minute with a well taken header off a corner kick.

The win improved Uganda’s chances of qualifying for the the event after missing out since 1978.

Kabugo who was starting his fifth game for the Cranes in the campaign nodded in a well taken Mike Sserunkuma corner kick. Newly appointed Ugandan Prime Minister Ruhakana Rugunda graced the game as chief guest.

In the absence of injured skipper Asamoah Gyan, the Black Stars who took part in the 2014 World Cup in Brazil lacked a lead player who could plan for the team. Stand in skipper for the Ghana team Andrew Ayew and Christian Atsu failed to go past the Ugandan defenders and were substituted by coach Maxwell Konadu.

The visitors who lead still lead Group E with eight points tried to fight back in the second half, but the home side stood firm. Uganda now moved to seven points before they travel to face Guinea next week in Casablanca, Morocco.

Cranes coach Militin ‘Micho’ Sredojevic told reporters after the game that he was happy with this win and thanks the fans for the support. He however said they now have to plan for next week’s tricky game against Guinea.

The Cranes who last qualified for Afcon in 1978 had five players booked. Skipper Andrew Mwesigwa, Junior Yunus ssentamu, Brian Majwega, Isaac Isinde and Daniel Sserunkuma were all booked. In their first leg clash in Kumasi, Uganda held Ghana to a 1-1 draw.
Team Line Ups
Uganda: Denis Onyango (GK), Isaac Isinde, Brian Majwega, Andrew Mwesigwa (c), Savio Kabugo, Tonny Mawejje, Mike Sserumaga, Farouk Miya, William Luwagga Kizito, Geoffrey Massa and Yunus Sentamu
Ghana: Razak Braimah, Harrison Afful, Baba Rahman,John Boye, Jonathan Mensah Rabiu Mohammed Christian Atsu,Afriyie Acquah, Majeed Waris Agyemang Badu, Andre Ayew




- -