story:SITOKUSAAU KAMWE sehemu:(1) Ingawa umetoweka kwangu machoni ila bado waishi kwangu moyoni kukutana kwetu kulikua kama utani na kukuacha si kutamani ata kwa sekunde maishani ila sasa umebaki pichani mgeni wa ukutani bila kufutika kichwani umenipa maumivu rohoni kwa kuniacha gizani.....kwanini kwanini.......sasa....... .................................... Ilikua ni asubuhi iliosheeni utajiri wa mwangaza ndege na wanyama wengine wa kiimba na sauti zao zuri kupaza uku mikusanyiko na misongamano ya binadamu na magari kila kona na pembe za jiji ilikua ni ishara tosha kuwa jiji sasa lime shakucha na makucha yake. Ni kiwa ndani ya gari nyeusi aina ya range rover sport ni kiendeshwa kutoka masaki ni napoishi kuelekea airpot ni napo fanya kazi kama mwanasheria mkuu ndani ya kampuni ya baba yangu na tulipo fika maeneo ya posta ni muomba dereva asimamishe gari ni kiwa na zumuni la kununua magazeti ya siku hiyo na kuendelea na safari ila tulikutana na foreni kubwa sana tazara na muda ulipo zidi kupotea tukiwa bado kwenye foreni hiyo ni liamua kuchukua miwani yangu na nilipo maliza kuivaa nilichukua gazeti moja wapo kati ya yale ni lilifungu na kuanza kusoma ni kiwa bize na gazeti ghafla kioo cha gari kiligongwa "ng'o ng'o ng'o ng'o" niliamua kufunga gazeti na kushusha kioo ndipo mboni zangu zili kutana na taswira ya mwanamke wa makamo alie chafuka kwa utawala wa vumbi kuazia unyweleni mpaka unyaoni uku sehemu kubwa ya mwili wake uki ifaziwa kwa vazi lililo pendezeshwa na staili ya vilaka vikubwa kila kona.akiwa na fimbo mkono wa kushoto na kuuelekeza mkono wa kuume kwangu "naomba unisaidie ndugu yangu toka jana sijapata ata kipande cha mkate tumboni mwangu nina njaa sana ni naomba msaada wako tafazari"ilikua ni sauti ilio kuwa na taswira ya ya unyonge iki toka kinywani mwa mwanadada uyo. maneno na muonekano wa mwanamke uyo vilitosha kabisa kujenga nafsi ya huruma moyoni mwangu iliyo utuma mkono mfukoni na kunyakua walet(mfuko wa kuifazia pesa)na kutoa pesa kidogo na kumkabizi mwanadada uyo "ahsante sana ndugu ahsante sana!mungu akusaidie na kukuzidishia"ilikua ni sauti yake akishukuru kisha akaeka fimbo yake vema na kuanza kupotea taratibu mbele ya mipaka ya mboni zangu Ni limtazama sana dada uyo na kuishia kuvuta tu pumzi "uh..uh...u...huuu" nilifukicha macho kisha ni pandisha kioo na kuende kusoma gazeti,na aikuchukua muda magari ya li ruhusiwa kwa upande wetu na tulianza kuendelea ya kuelekea ofisini "bosi..." ilikua ni sauti ya james ambaye ni dereva wangu anaeniendesha "nahm!james wa sema je?"nili mjibu. "bosi kwa nini ume msaidia yule omba omba,ni mataperi wale na wengine siku hizi wamesadikika kuwa ni machuma ulete kua makini siku nyingine bosi" Ni limtazama james na kubaki ni kitikisa kichwa kwa masikitiko sikuamini kama maneno ayo kweli ya metoka kinywani mwa james. "james umeanza lini kua na imani hizo potofu kaka ..eh.. kutoa ni moyo na si utajiri na usipende kumzungu mzia mtu mabaya je?unge kua wewe unge jisikiage ama umesisaau kua leo kwake kesho kwako ..zingatia hiloo sawa james ila james aku jibu kitu bali alitikisa kichwa akimaani sha nilicho mweleza amekielewa nilika kimya na kuendea na safari. Aikutuchukua muda hatimaye tulikua teali tumesha wasili maeno ya park ya ofisi james alipo engesha gari vyema ni lishuka na begi langu kisha tuli agana na james na kuanza kuelekea ofisi. Siku iyo ilikua ni ya maajabu na baraka kwangu kwa maana tuli pata hoda nyingi zilizo pelekea kua na kazi nyingi sana ila mungu alini wezesha nilizi fanya kwa muda muafaka na ufasaa zaidi akika nili stajabu sana na kubaki niki tabasamu muda wote uku nikiendelea na kazi. Muda wa kutoka ofisini uli wadia nilifungasha kila kilicho cha muhimu na kueka ndani ya begi langu la kaki na taratibu ni litoka ofisini na kuelekea kwenye eneo la park ya magari ilichukua dakika kaza kufika hapo.nilimkuta james yupo teali niliingia ndani ya gari nilieka beg siti ya nyuma kisha ni kafunga mkanda vyema na safari ya kuelekea masaki ika anza tukiwa njiani na james tu kiteta stori za hapa na pale ghafla simu yangu ya mkononi ili ita "tritritritritritritritri" (mlio wa simu) niliingiza mkono mfukoni kwa haraka na kutoa simu ni lipo tazama nani anapiga alikua johnson rafiki yangu nilie soma nae chuo kimoja moyoni niliji semea "ohoh!john ume ni kumbuka leo" nili pokea baada ya salamu john alinieleza kua yupo "Dimo pub" iliopo maeneo ya keko magurumbasi na kuniomba ni kapate nae ata chupa moja ya mvinyo(bia). nili mkatalia sana ila aliendelea kunibembeleza ndipo mwishoe niliamua kumkubalia "james naomba uni peleke keko magurumbasi please! "ok bos" james alinijibu na kuanza kuifwata njia ya keko,ili tuchukua kama dakika 20 kuli kua nje ya lango kuu la pub hiyo nili shuka na kumweleza james "wewe ni subirie hapa kwa kua siendi kuka sana uko sawa" "ni me kuelewa bosi"jamea alijibu. na taratibu nilianza kuingia ndani ya pub hiyo ya kisasa ilio sheeni kila aina ya starehee uku watu wakiwa wengi sana wana wake kwa wanaume wengine wakitoka na wengine wakiendelea kuingia. na nilipo fika ndani nili angaza uku na kule kwa mazumuni ya kumtafuta johson mwishoe ni lipata kumuona johsn akiwa kaunta alipo niona alinipungia mkono "eh!my boy come" nili mfuata mpaka pale kaunta aliniagizia glass ya wine tuli gonga cheazi kisha tuliendelea na stori uku kucheka na kugonga ghafla sauti za ugovi zili sikika "amina ivi umeona pesa yangu aina samani ama kitu cha kununuliwa kwa maana nilikupa pesa ukaniletee mwanamke mzuri wa kulala nae usiku huu wa leo umeamua kwenda kuniletea huu mzoga hapaa......?"sauti iyo ilitufanya watu wote ndani ya club hiyo tungeuke upande huo wa ugovi ambao ulikua nyuma yangu na ni lipo tupa zangu mboni na kuwa tazama watu hao wa nao gombana sikuaamini kwa kile ni licho PATA KUONA........ ******sehemu ya kwanza******** ASANTER MSOMAJI NA NAOMBA Samahani kama kutakua na tatizo lolote hapo juu sehemu ya kwanza naomba karibu pia kwa sehemu ya pili ******karibuni sana********
Tagged with: Life Style
About Arusha99
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments