Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » story:SITOKUSAHAU KAMWE SEHEMU YA 2
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

story:SITOKUSAAU KAMWE sehemu:(2) Sikuamini kwa kile nilicho pata kukiona ndani ya mboni zangu mbili angavu baada ya kumuona mwanamke yule nilie pata kumsaidia asubuhi maeneo ya tazara ni lipo kuwa njiani ni kielekea kazini akiwa ni miongoni mwa watu hao  wanao gombezwa, akika moyo wangu ulipigwa na butwa na kujiuliza maswali mengi yalio kosa mjibuji kwa wakati huo mwafaka ni kiwa bado ndani ya tafakari ghafla yule mwanaume alie kua  akifoka kwa sauti kubwa ya matusi alinyanyu mkono wake wa kuume na kuanza kumshushia mvua kali ya makofi juu ya ardhi ya uso wa  mwanadada uyu mpole wa makamo kitendo iko kili mfanya mwanadada uyo kuanguka mpaka chini  misili ya mzigo ulio mkela mbebaji na kufungua vizuizi vya  sauti ya kilio iliyo tokana na maumivu makali iliyosikika masikioni mwetu kutoka kinywani mwa mwanadada uyo, ilionipa ujasili  wa ghafla ulio ambatana na jaziba  ilio ni nyanyuka mahari nilipo keti  na kwenda kwa haraka mpaka pale chini alipo jiina mia mwanadada uyo "pole pole dada" ilikua ni sauti yangu iki jaribu japo kumpoza na moto mkali wa machozi machoni mwake pasipo na mafanikio nili mwangalia vyema na kugundua ali kua aki tokwa na damu nyingi mdomoni na puani nili ingiza mkono mfukoni kwa haraka  na kutoa kitamba na kuanza kumfuta taratibu "pole fumbua mdomo dada ni kufute vizuri" kitendo iko kili washanga watu wengi ndani ya club hiyo na wengine wa libaki kunong'ona "ni nani yake uyu?je ni mteja wake wa siku nyingi?" "mh!ina maana uyu mwanaume mtana shati  ajui hazi na matendo ya uyu malaya" ila siku jari maneno yao na kuendelea kumfuta mwanaume aliye kua anafok alii nama na kunishika bega "ahhahahaha aya na wewe baba huruma ukimaliza kufanya kazi ya kanisa wa weza kwenda  ili malaya uyu chokora dama aweze nilipa pesa yangu ni na yo mdai sawa" "ahahahahaha!aloooooooo" watu walicheka sana baada ya maneno ayo ya kejeri kutoka kwa mwanaume uyo aliye sahau ata mama yake ni mwanamke na wengine awakuishia hapo "paaaaa!walijiogezea zawadi ya kugonga" manenoa ayo ya lionyesha kumchoma sana mwanadada uyu mtima wake  na kuanza tena kulia kwa hasira "ni kipi alicho wakosea ni kipi wa mdai shingapi et shilingi laki moja bilioni milioni ama uahi wake wautaka sema sema " nilitokwa na maneno ya asila "na mdai shilingi 50000 ni patie kisha waweza kwenda kulala na wewe" yule baba alinijibu uku aki pikicha vidole yake viwili  cha kati na kidole gumba aki maana nisha anataka ni mlipe nili ingiza mkono mfukoni na kutoa waleti(mfuko wakuekea pesa) nili hesabu na kutoa laki na kumkabizi yule mbaba "shika" kisha nili mnyanyua yule mwanamke uku kiwa bado  anateseka na kilio na kuanza kutoka nae nje "ni ache ....niache ....naomba niache  aya ndo maisha yangu ya kila kukicha niache ....aliendelea kulalama uku akini piga pegani  ila siku tamani kumuachilia tena tukiwa kwenye mwendo wakasi tukielekea park ya magari nilipo muacha james simu yangu nilitambua si mwingine ila ata kua ni john rafiki gangu ni lie muacha ndani ya club niliikata na kuendelea nawendo. ili tuchukua dakika kaza kulikua tushafika  james alishangaa sana nilipo fika na yule msichana  ni limweleza "siitaji maswali kwa sasa jame naomba unipeleke hoteli yoyote iliyo  karbu na hapa" james alionyesha kunielewa tuliingia kwenye gari haraka haraka ali washa gari na tulianza kupotezana taratibu  na taswira ya nje ya club iyoo na aikuchukua muda  sana tulikua teali tusha wasili mbele ya hoteli moja itwayo KING JONSON HOTEL nilishuka na yule msichana pamoja na james "james waweza kwenda sasa kupumzika nyumbani ila naomba uwai kunipitia hapa mapema asubuhi" ili kuani sauti yangu ni kiagana na james james aliingia kwenye gari na kutekenya mafuta na kuanza kupotea  na si tuka anza kwenda ndani ya hotel hiyo tulipo fika mapokezi  nilifanikiwa kupata chumba namba 123 na kwa haraka  nilipanda lift na yule mwanamke akiwa bado ana teseka kwa kilio tulipo fika flow ya tatu maali ambapo chumba kipo tulishuka ndani ya lift nilifungua mlango   na kuingia ndani  tulipofika ndani nili muachia mkono na kufunga mlango vema waweza kupumzika hapo kitandani  nili mweleza yule dada  kisha mimi ni kaelekea kwenye meza ya television ambapo kando yake kulikiwa kuna simu  na kupiga kwa ajili ya kutayalishiwa chakula  ghafla.........INAENDELEA USI KOSE SEHEMU YA TATU(3) YA STORY HII ASANTE KWA KUSOMA

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply