Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » JE MAISHA YAKO YANATEGEMEA AJIRA PEKEE? BASI SOMA HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JE MAISHA YAKO YANATEGEMEA AJIRA PEKEE? BASI SOMA HAPA. Kuajiriwa bila kuwa na kitu cha ziada cha kukupa kipato ni sawa na kujenga #gereza kwa mikono yako mwenyewe halafu ukaingia humo ndani ukajifungia halafu ufunguo ukamtupia #mpitanjia usiyemjua anakotoka wala anakokwenda. Eti kisa yeye ni binadamu eti ipo siku atanifungulia nitoke. Akienda moja kwa moja je, si utafia humo gerezani.  Gazeti la #ForbesAfrica toleo la April 2016 limeandika kuwa watu waliofanikiwa kiuchumi wana vipato tofauti tofauti kati ya vitano hadi saba. Wewe una kimoja tu.  Think about it.  Plan B inayokupa kipato cha ziada ni muhimu sana kwa mwajiriwa. Hata wafanyabiashara wana vipato vingi. Bakhressa anapata pesa kutokana na sehemu ngapi? Lakini fikiria dereva wa boti za Bakhressa.Huenda anategemea kipato kimoja tu yaani malipo kwa kuendesha boti. Halafu jiulize kati ya yeye na Bakhressa nani kasoma kuliko mwenzake. You see? Usitumike tu kwenye ajira mpaka ujuzi wako na nguvu zako zije kuishia kwa mtu halafu kazini kwako wakishaona hivyo watakufanyia visa visa tu mpaka uache kazi mwenyewe kwa frustration. Halafu badala ukafanye mambo yako ungali na nguvu wewe unatafuta kazi nyingine ya kuajiriwa tena. Sikia. Jenga maisha yako mwenyewe. Usitegemee hela ya mwisho wa mwezi. Kuna mtaalamu mmoja tajiri na mwanauchumi anasema "KUWA NA HELA NYINGI MWISHO WA MWEZI NI DALILI YA UMASKINI" Hata kama wewe ni mwanafunzi sasa. Unaonaje ukijifunza kujenga kipato pembeni kuliko kuja kutegemea ajira tu.. Think about it. Angalia matajiri. Pesa zao nyingi hazipatikani mwisho wa mwezi. Ni any time. Jifunze sasa. Jenga kitu kingine nje ya kazi..

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply