Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » MDUDU ANAEFANANA NA MINYOO ANAEPATIKANA KWENYE MBOGA ZA MAJANI Auwa watu
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jamani kuna mdudu (anafanana na mnyoo) anaye kaa kwenye mboga za majani pia huyo mdudu hafi kwa kupikwa unashauriwa kuosha mboga za majani kwa chumvi na maji ya uvuguvugu maana ni mdogo anaganda kwenye mboga hizo za majani kama konokono na ana umbo dogo ila akiingia tumboni anakuwa haraka. Dalili ni tumbo kuvimba kwa haraka na ndani ya muda mfupi (3 to 6 hours) inategemea na immunity yako. Pamoja na maumivu ya tumbo Dawa bado haijafahamika lakini mpaka sasa tiba yake ni OPERATION kubwa ya tumbo kumtoa huyo mdudu Kuna mtoto alivimba tumbo baada ya kumla na amefanyiwa operation leo ila amefariki ni hapa Tanzania tena Arusha Mwezi mmoja na nusu ulopita mimi mkomole kaka angu akiwa kazini kwake (Ni afisa kilimo alitumia mboga mboga alizolima bustanini kwake alifanyiwa Operation hospitali ya ILEMBULA -Mbeya Namshukuru Mungu anaendelea vizuri) Jamani tuwe makini na mboga za majan hasa za kula kwa mamantilie LIKE kisha #SHARE na washkaji taarifa ziwafikie #SNWW

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply