NEPBABY DISPOSABLE BABY DIAPERS Ni aina ya DIAPERS za watoto kutoka Kampuni ya Neptunus zenye ubora wa hali ya juu sana. Matumizi Ya Diapers Yamerahisishia Wamama Wengi Hasa Walioajiriwa Kutokana Na Ufinyu Wa Muda wa kufua .Lakini Wakati Mwingine Hizi Diapers Zimeleta Matatizo Mengi Kwa Watoto Hasa Kutokana Na Aina Ya Malighafi Iliyotumika Kutengenezea. Diapers zingine hazipitishi hewa hivyo husababisha Bacteria aina Anaerobic Bacteria kuzaliwa.Hawa ni Bacteria ambao wanazalishwa katika mazingira ambayo hewa ya Oxygen haipiti matokea yake watoto wanapata Ugonjwa Kwenye Njia Ya Mkojo Maarufu Kama U.T.I,Kuwashwa Na Fungus. UBORA WA NEPBABY DIAPERS Nepbaby disposable diapers zimetengenezwa kwa malighafi ya pamba laini ambayo huruhusu hewa kupita vizuri lakini pia kufanya mtoto kuwa na furaha wakati wote kwasababu haimchubui,wala kusababisha muwasho wa aina yoyote.zifuatazo ni faida zake: 1.ALOE: Nepbaby diapers zina aloe ambayo humlinda mtoto na maradhi ya aina mbalimbali ikiwemo muwasho,fungus,u.t.i na kuzuia bacteria wanaozaliwa kwenye unyevu nyevu na hasa mazingira ambayo hewa ya oxygen inakosekana. 2.INDICATOR(KIASHIRIA): Nepbaby diapers zina indicator(kiashiria) ambayo huonyesha kama mkojo umejaa na inatakiwa kubadilishwa,hivyo kumfanya mwangalizi wa mtoto kutambua haraka kuwa anatakiwa kubadilisha. 3.POLYMERS NA PAMPBA LAINI: Zimetengenezwa kwa malighafi zenye uwezo wa kufyonza mkojo au maji maji kwa wingi hivyo kumwacha mtoto kuwa mkavu na kumuepusha na muwasho wa aina yoyote na kuwa huru. 4.ZINAONDOA HARUFU MBAYA:Zinamkaa mtoto vizuri na pembeni iko na malighafi inayozuia mkojo kupita na kuondoa harufu mbaya ( foul smell). 5. UTUNZAJI WA MUDA: Zinamsaidia mama kupata muda wa kufanya shughuli zingine za kiuchumi hasa katika swala la utafutaji ::::::nitafute kwa no 0753606603
Home
»
Health
» NEPBABY DISPOSABLE DIAPERS ZIMETENGENEZWA KWA MALIGHAFI YA PAMBA LAINI AMBAYO HURUHUSU HEWA KUPITA VIZURI LAKINI PIA KUFANYA MTOTO KUWA NA FURAHA WAKATI WOTE KWASABABU HAIMCHUBUI
Tagged with: Health
About Arusha99
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Good
ReplyDelete