Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » FURSA 50 ZA BIASHARA SOMA HAPA KUJUA NI FURSA IPI ITAKUFAA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. 7. ** Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. 12. ** Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. 13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza. 14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha 15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta 16. ** Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika. 17. Kuuza Mitumba 18. ** Kusimamia miradi mbalimbali 19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali 20. Kufungua banda la chakula na chips 21. Kukodisha turubai viti na meza 22. Kufungua Supermarket 23. Kufungua Saluni 24. Kufungua Bucha 25. Video Shooting & Editing. 26. ** Kufungua Internet cafe 27. Duka la kuuza matunda 28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline. 29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati 30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT 31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k 32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor) 33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k 34. ** Kuuza maji kwa jumla na rejaleja. 35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora. 36. Kukodisha Music 37. Kuanzisha Mradi wa Taxi 38. ** Kuanzisha mradi wa Daladala 39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine. 40. ** Kununua magenerator na kukodisha 41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu 42. ** Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP) 43. Kuuza mabati na vigae 44. Kujenga apartments 45. ** Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote 46. Kufungua Duka la samaki 47. Kufungua Duka la nafaka 48. ** · Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo. 49. Kujenga hostel 50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply