Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuwasili usiku huu kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Serengeti Boys. Mchezo wa timu hizi mbili utachezwa Juni 2
«
Next
Taifa dogo kwa maana ya idadi ya watu, Iceland limeicharaza Austria kwa goli 2 - 1 katika mchuano wa soka wa Euro 2016, na kufuzu katika hatua ya 16 bora
»
Previous
Liverpool yamsaka Sadio Mane

Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuwasili usiku huu kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Serengeti Boys. Mchezo wa timu hizi mbili utachezwa Juni 26, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hiyo inaingia wachezaji na pamoja na viongozi 25, waamuzi wanne kutoka Ethiopia, ndio watakaochezesha mchezo huo Mchezo wa marudiano kati ya Serengeti Boys na Shelisheli utachezwa Julai 2, huko Shelisheli. Mchezo huo ni wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 michuano itayofanyika nchini Madagasca.

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Taifa dogo kwa maana ya idadi ya watu, Iceland limeicharaza Austria kwa goli 2 - 1 katika mchuano wa soka wa Euro 2016, na kufuzu katika hatua ya 16 bora
»
Previous
Liverpool yamsaka Sadio Mane

No comments

Leave a Reply