Taifa dogo kwa maana ya idadi ya watu, Iceland limeicharaza Austria kwa goli 2 - 1 katika mchuano wa soka wa Euro 2016, na kufuzu katika hatua ya 16 bora . Iceland iliiadhibu Austria mabao mawili kwa moja na sasa watakutana na England. Mtangazaji wa mpira kutoka Iceland alishindwa kujizuia pale ambapo Arnor Ingvi alizitikisa nyavu katika dakika za majeruhi. Wakati Mtangazaji wa Iceland amefurahi kweli kweli kwa Timu yake kufuzu, Mtangazaji Mreno yeye anaugulia maumivu ya moyo kwa tukio alilofanyiwa na Ronaldo na kumnyang'anya kipaza sauti na kukitupa mtoni.
Home
»
Sports
» Taifa dogo kwa maana ya idadi ya watu, Iceland limeicharaza Austria kwa goli 2 - 1 katika mchuano wa soka wa Euro 2016, na kufuzu katika hatua ya 16 bora
Tagged with: Sports
About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
You May Also Like...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments