ne 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeendelea kama kawaida, mechi kubwa ya Euro kwa leo ilikuwa ni mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya Urusi, huu ni mchezo ambao ulikuwa unatazamwa na watu wengi kwa Afrika. England walicheza mchezo ambao hadi dakika 90 zinamalizika walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 53, wakati Urusi walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 47, licha ya kuwa England walikuwa wamiliki mpira walilazimishwa sare ya goli 1-1. 
Tagged with: Sports
About Arusha99
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments