Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » SOMA MASHAHIRI YA WIMBO WA DIAMOND (utanipenda
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

SOMA MASHAIRI YA WIMBO WA DIAMOND "Utanipenda" Mmh! ghafla visenti sina, nimerudi Tandaleeh nimeshindwa kulipa bimaa nimeuza madaalee Radio nyimbo imezima TV ndo hataare meneja umebaki jina hunitaki hata tale… Oooh! wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagram Halima si dada angu eti nae hanifahamuu hata Harmonize nikimpgia ananifokea kama sallam na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari siunajuaga utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa na vyenye nilivyomnyonge tabia ya kuwa jibu sinagaa kama naiona michambo ya mademu wa zamani nilioptiaga... Oooh! ninayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho anayepanga no Rabbana ila ameficha ni confidential ukisali omba Sana mumeo nisije kua kichekesho maana rafiki wa jana ndiye aduii mkubwa kesho.... Laaala lalalalala! ooh je utanipendagaaa....lala....lalala... au nawe utanimwaga....lala...lalalala oooh je utanipendagaa....lala....lalalala au nawe utanimwaga... Oooh! bado nawaza sana zile tuzo mashauzi airport je nitapofika tama mtadiriki hata japo kuniposti pindi shoo zikikwama na nikipata sijasi ni mikosi Ooohh! jahazi limezama Mola ninusuru baba! Kama namwona roho yangu Tiffah Dangote ana kwenda na mwanangu kwa  Jakaya Kikwete anafukuzwa atoke usilie Sandra wangu mboni yangu jikaze usihoke huenda kesho zamu yangu nitavuma tena mambo yanyooke... Eeh! na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa na vyenye nilivyomnyonge tabia ya kuwa jibu  sinagaa kama naiona michambo ya mademu wa zamani yaani Laaalaaaaa laalaaa lalaaaa! Kama namwona mwanangu roho yangu Tiffah Dangotee Ana kwenda na mamangu kwa mkubwa Fella ana fukuzwa atoke usilie Sandra wangu mboni yangu jikaze usichoke huenda kesho zamu yangu nitavuma tena mambo yanyooke Ooh! ninayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho anayepanga no Rabbana ila ameficha ni confidential ulisali omba Sanamumeo nisije kua kichekesho maana tafiki wa Jana ndiye adui mkubwa kesho.... WASAFI.......... tuimbe kidogo

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply