Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » JINSI YA KUPATA HELA
«
Next
MUNGU HAKUUMBA MASIKINI KWA NINI WEWE MASIKINI ?
»
Previous
ALIOCHAGULIWAPAMOJA NA APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO NON DEGREE (DIPLOMA AND CERTIFICATE) PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017-NACTE

HOW TO MAKE MONEY (The Jewish Strategy) KANUNI ZA MUNGU ZILIZOHAKIKIWA
Umeumbiwa uwezo wa kitajiri na kumiliki ndani yako na ni haki yako MUNGU alikuwekea *HAUNA SABABU YA KUWA MASKINI*
Usitegemee akili na Nguvu zako mwenyewe ,Jifunze kuwa anayejua matumizi ya Chungu ni Mfinyazi, *MUULIZE MUNGU KIVIPI(HOW) na usimuulize KWA NINI(WHY)*
UMASKINI una nguvu ya kudhoofisha IMANI yako.
na DAIMA umiliki Amali,utajiri unauwezo wa KUIMARISHA IMANI YAKO *(UTAJIRI ULIOJENGWA. KTK MISINGI YA MUNGU*
Daima shika kanuni hii
*KAZI/JUHUDI ➕ HEKIMA(GOD)=UKWASI/UTAJIRI/USTAWI/MAFANIKIO*
Kumb 8.17-18
JE,Kanuni hizo na MBINU HIZO 6 ZA KUTENGENEZA PESA ZIKOJE ???
WAJIBU,mipango,uwajibikaji,matumizi sahihi na Usimamizi thabiti wa MALI(Fedha,Muda,na amali zingine)
*Stewardship* FUNGU 10% la kila kipato unaingiza na toa kwa Uaminifu,Adabu,hekima,na MADHABAHU SAHIHI,nielewe namaanisha Madhabahu sahihi(Si sababu mchungaji wako kasema BALI unaskia ndani yako *Tithes* SADAKA,iwe takatifu,si chenji ,umeomba kwa duka,sadaka inaandaliwa wiki nzima,ukinia ndani yako siku fulani Nitakupea Mungu kitu hii,Na ndo Mlango wa fedha zote na uzima na afya yako
*Offering* KUWEKA AKIBA Mith6:6-7 Hata mchwa huweka akiba wewe inakuwaje ,unavunja kanuni kazi kutumia tu pesa ,weka akiba ni kanuni za Mungu tena uelewe,weka sasa *Saving* WEKEZA,Angalia umri wako,na maisha unaishi,uko busy na ndoto za watu wengine wakati zako hujatekeleza kumbuka na weka akilini (HUKUJA WALA KUUMBWA KULIPA BILLS NA KUKUFA,ulikuja utimize kusudi ,uifanyie kitu dunia,uifanye dunia mahali pa watu kufurahi
*KANUNI YA MUNGU WALAU UWE NA VYANZO 6 VYA KIPATO,somo litakujia karibuni, *Investment* SASA TUMIA FEDHA,PANGA matumizi yako,andika kila unachotumia,weka kumbukumbu sahihi,na kuwa na nidhamu katika matumizi yako,wasiliana na kila pande zinakuzunguka ili wasishangae kanuni zako za fedha,epuka michango isiyo na baraka wala ulazima kama HARUSI,SHEREHE,
changia michango yenye matokeo chanya na baraka kama MISIBA,WAGONJWA,WAHITAJI,MASKI
NI,na wale unaskia KUGUSWA NDANI YAKO *Spending.*
Kanuni hizo kwa ufupi
1.stewardship
2. Tithes
3.Offering
4.Savings
5.Investment
6.Spending
AKUPENDAYE UFANIKIWE DAIMA

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
MUNGU HAKUUMBA MASIKINI KWA NINI WEWE MASIKINI ?
»
Previous
ALIOCHAGULIWAPAMOJA NA APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO NON DEGREE (DIPLOMA AND CERTIFICATE) PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017-NACTE

No comments

Leave a Reply