Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» »Unlabelled » RAISI WA SHIMO LA PUNDA SEHEMU YA TATU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

STORY=PIGO | | MTUNZI~HAIDARI MIRAJI | | SEHEMU YA TATU Kabla sijaingia ofisini kuna taarifa gani. Aliuliza mzee halfani. Hakuna taarifa sema kuna ujumbe. Alijibu sekeretary wake bi hadija. Unatoka kwa nani huo ujumbe. Aliuliza mzee halfani. Me sielewi sema we mwenyewe ukisoma utagundua kama umetoka kwa nani. Alijibu  hadija na kumuangalia bosi wake usoni. Unaweza kunipa kwa sasa au baadae. Aliuliza mzee halfani. Hapana nitakupa wakati wa runch. Alijibu hadija na kuendelea na shughuli zake. Basi acha mi niingie ofisini kwangu. Aliongea mzee halfani na kuondoka zake. Aliingia ofisini kwake na kuagiza chai. Azikupita dakika nyingi Akaletewa na kuanza kupata kifungua kinywa. Wakati akiwa anakunywa chai akamkumbuka mkewe. Akaacha kunywa chai na kuchukua sm na kumpigia mkewe. Sm iliita kwa mda lakini haikupokelewa. Hali ile kwa kiasi fulani ilmtia huzuni wa gafla.Taratibu akaanza kuingiwa na unyonge. Alijikuta ameganda bila kufanya chochote baada ya kupiga zaidi ya mara tatu. Wakati akiwa kazubaa uku kikombe cha chai kikiwa mkononi asijue wapi pa kukipeleka kati ya mdomoni na kwenye meza mara simu yake ikaita. Kuangalia jina kwenye kio cha simu mkewe. Akapokea kwa haraka na furaha ilianza kujirudi kwa mbali. Mbona nimepiga sana bila ya majibu ulikuwa wapi mkewangu kipenzi. Alianza na swali mzee halfani. Baada tu ya kupokea sumu. #itaendelea

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply