Najua mashabiki na wanachama wa Yanga wote walikuwa wanasubiri kwa hamu kujua matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Yanga katika nafasi mbalimbali, hususani ya mwenyekiti na makamu wake. Katika nafasi ya mwenyekiti Yusuph Manji ndio alikuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo, kura za awali zimetangazwa yeye amepata jumla ya kura za ndio 1468, hapana 0 na kura mbili ndio zimeharibika. http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js
Home
»
»Unlabelled
» MICHEZO Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Yanga nafasi ya uenyekiti na makamu
Tagged with:
About Arusha99
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments