Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» » MWANASOKA BORA WA BBC KIM LITTLE FUNGUA HAPA KUJUA ZAID
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiungo wa timu ya soka ya Scotland Kim Little, ameshinda tuzo ya pili ya mwansoka bora mwaka wa BBC upande wa Wanawake Kim Little, mwenye umri wa miaka ishirini na mitano ambaye anachezea klabu ya Seattle Reign iliyoko nchini Marekani, aliibuka kileleni kwa kura nyingi zilizopigwa na washabiki zake. Kim aliwapiku wachezaji wengine bora walioteuliwa kuingia katika kinyang'anyiro hicho cha kuwania tuzo hiyo kutoka katika nchi za Cameroon,Ufaransa na Marekani. Naye kocha wa timu ya Scotland, Anna Signeul amesema kwamba anakiri kuwa ushindi wa Kim umekuwa wa ajabu kidogo, ambaye anamuelezea Kim kama mchezaji aliyejaaliwa kila kitu ,ikiwemo kasi, mwenye mizania na mwenye kipaji na mbinu za hali ya juu mchezoni. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply