Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

» »Unlabelled » UVIMBE KWENYE KIZAZI ONGEZEKO LAKE LINATISHA SABABU NI NINI? SOMA HAPA KUJUA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

UVIMBE KWENYE KIZAZI ONGEZEKO LAKE LINATISHA SABABU NI NINI? FIBROID NI NINI? Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi. Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids: 1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi) 2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi) 3. Subserosal(nje ya kizaz) Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids 1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa 2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma 3.kurithi 4.unene 5.kuingia hedhi mapema Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma. Dalili za fibroids 1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi. 2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe. 3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana. 4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu. 5.hedhi zisizokuwa na mpango 6.maumivu wakati wa tendo la ndoa 7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa 8.maumivu makali wakati wa hedhi Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo. 1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo 2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo 3.Haja kuwa ngumu 4.miguu kuvimba 5.kupungukiwa damu Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto: 1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari 2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids 3.Pia husuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai. MATIBABU 1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hawawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongexeka coz ya vichocheo kuongezeka hvyo hawa watu tunawabaini tunapofanya ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lkn kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii 2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital) A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawez kumudu kununua B.Vidonge vya maumivu C.Vidonge vya kuzuia damu km tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs) 2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake. 1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri 2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi. Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza kushughulikiwa kutibiwa???? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo??? Kumbuka uvimbe huu sio kansa hvyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA. Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo imefanyiwa research. Hii dawa inapunguza uvimbe wa fibroid bila madhara kama donazol. Kama una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshilikishe kuokoa afya yake. 1.GINSERNOSIDE -Hii dawa inajulikana kama mfalme wa kusambaza uvimbe wowote na kuzuia kansa kusambaa na kuendelea kushambulia mwili. Pia ina boost kinga ya mwili kwa watu wenye kinga iliyoshuka kutokana na kansa na magonjwa mengine. Dawa hii inasambaza uvimbe kwa kupunguza kiasi cha damu kinachokimbia kuelekea uvimbe hivyo uvimbe hautaendelea kukua hata kidogo. 2. Aloe softgel Utafiti unaonesha kuwa aloe ndio mmea mashuhuri kusawazisha kiasi cha uchovyaji wa vichocheo mwilini yani hormoni. Hivyo utafiti pia unasema watu wengi wenye vichocheo vingi vya ESTROGEN wako hatarini kupata UVIMBE MBALIMBALI MWILINI uvimbe huu huitwa ESTROGEN DEPENDANT TUMORS. Hii ni kwamba uvimbe huu unakua kwa kasi panapokua na kiasi kingi cha estrogen. Watu hawa pia wako hatarini kupata kupata KANSA MBALI MBALI ZA KIKE kama KANSA YA MATITI, KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ZINGINEZO. Sasa suluhisho lipo litakalo hakikisha huna tatizo lolote uzeeni na kupata matatizo haya ukubwani. Pia aloe inaondoa FREE RADICALS AU HEAVY METALS ambazo ni vibadilisha mfumo wa utendaji kazi mwilini. Pia inasafisha mfumo wa chakula mwilini. ALOE NDIO KILA KITU KWA WANAWAKE AMBAE YUKO TAYARI KUJIKINGA NA KANSA AINA ZOTE,UVIMBE NA MAGONJWA SUGU. 3. FUR SEAL OIL Haya ni mafuta mazuri aka GOOD CHOLESTERAL OMEGA THREE. Utafiti unaonesha kuwa watu wengi wenye mafuta mengi MABAYA yani BAD CHOLESTERAL wako hatarini kupata UVIMBE NA KANSA MBALIMBALI. Pia mafuta mabaya ndio kisababishi kikubwa cha KICHOCHEO CHA INSULIN KUPATA KIZUIZI KATIKA UTENDAJI KAZI(INSULIN RESISTANCE) Ndicho kisababishi pia cha KISUKARI UKUBWANI. Ewe mwanamke aina hii ya fur seal oil iko concentrated na ina uwezo mkubwa wa kuondoa mafuta mabaya mwilini. USICHELEWE KWANI AFYA NDIO PEKEE ITAKUFANYA UFURAHIE PESA UNAYO ITAFUTA LEO HII. nichek  kwa  no  0753606603  whtssp 

About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply