OWM-TAMISEMI-Matokeo ya Kujiunga na Kidato Cha Tano Juni 2015 Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana 31,700 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 na wavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansi Hisabati na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 na wavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomo ya sanaa na biashara . Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha Tano 2015 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18,Julai 2015. BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO JULAI 2015. You might also like: ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014HUU NDIO UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA NGAZI YA SHAHADA (DEGREE) CHUO KIKUU CHA MUCCoBS 2013/2014HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE - 2015Tazama Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita Mwaka 2015
Tagged with: education
About Arusha99

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
You May Also Like...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments