Dawa hii hutengenezwa kwa kutumia malighafi tatu ikiwemo sabuni ya maji, maji yenyewe pamoja na vinegar. Katika kutengeneza dawa hii unapaswa kuandaa chombo chenye ukubwa wa plastik ambapo utaweka maji lita kumi,sabuni ya maji lita moja pamoja na vinegar lita tatu. Baada ya mchanganyiko huo utakoroga kwa dakika zisizopungua ishirini na tano na dawa yako itakuwa tayari kwaajili ya matumizi.Asante.
Tagged with: entrepreneurs
About Arusha99
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments