Select Menu

Slider

Powered by Blogger.

Music

Health

Sports

News

Photos

Documentary

Video

SENIOR SUPPLIES OFFICER Source the Daily news, June 21, 2016 STAMIGOLD COMPANY LIMITED. EMPLOYMENT OPPORTUNITY ‘STAMIGOLD Company Limited -Biharamulo Mine is a subsidiary company of the State Mining Corporation (STAMICO) operating a gold mine. The Mine is located in the Biharamulo Forest Reserve South West of Mwanza in Kagera Region. In order to run the mine effectively and efficiently, the Company invites applications from qualified candidates to fill the existing vacancy as detailed below THE ROLE: Work Station: Biharamulo Mine Site Work Roster: 6/3 (42 days on, 21 days off) Contract Duration: Not exceeding two years, subject to renewal SENIOR SUPPLIES OFFICER (01) The Senior Supplies Officer-will be reporting to the Procurement Superintendent and should ensure effective supplying of goods and services in response to internal needs by providing support, ,guidance and professional advice within the requirements of the Procurement and Supplies Professionals and Technician Board (PSPTB) and Public Procurement Regulatory Authority (PPRA). DUTIES AND RESPONSIBILITIES • Head of Warehouse /Supervisor • Dealing with day to day procurement and supply service. • Day to day management of the warehouse team. • To Prepare documents like draft contracts, materials or goods requisitions. • Maintenance of agreements, purchase and check request. • Plan and execute an efficiency supplies management system of the company • Reviews policies pertaining to materials management • Provide Management and staff training on procurement, warehouse issues. • Follow-up orders and ensure delivery on time • Reconcile all stores records with those of accounts for audit. • Conducting market and product research and cost analysis. • Analysing supplier’s terms and conditions and revise to ensure compliance with procurement regulations. • Assisting in the developing and recommending various operational policies and procedure activities within the framework of procurement regulations. . • Coordinating with the requisitioning department to obtain required administrative information and/or documents necessary for processing the procurement. • Addressing specific purchasing needs and specifications with user department. • Preparing periodic and special reports and maintains current data on suppliers and new products as well as appropriate records and form. • Check tally records and reconcile the stores and advise on the best and economic ways of disposing off of obsolete stores. • To undertake such other tasks as may be reasonably requested by your Supervisors. CORE COMPETENCE Able to demonstrate highest degree of integrity. Self-driven and able to work with minimal supervision . Able to deliver excellent results while working under pressure. Computer literacy is of high importance. QUALIFICATIONS: Holder of Bachelor degree or Advanced Diploma and Certified Procurement and Supplies Professional (CPSP) or any other equivalent qualification from recognized institutions. Applicants must be registered with Procurement and Supplies Professional and Technician Board (PSPTB) in Approved Category. A minimum of three (03) years of working experience after CPSP in a senior level APPLICATION INSTRUCTIONS: Interested applicants meeting the above job requirements should send their applications with their detailed curriculum vitae (CV), ID which may either be a photocopy of birth certificate or Vote ID or Travel Passport or National ID, copies of academic qualifications and provide names of three (03) referees with their contact postal address, e-mail and telephone numbers. Further to the above, Interested applicants meeting the job requirements should write the position title in subject heading on the email; and applications should reach the under mentioned not later than July 05, 2016. Mine General Manager P.O. Box 78508 Dar es salaam
Taifa dogo kwa maana ya idadi ya watu, Iceland limeicharaza Austria kwa goli 2 - 1 katika mchuano wa soka wa Euro 2016, na kufuzu katika hatua ya 16 bora . Iceland iliiadhibu Austria mabao mawili kwa moja na sasa watakutana na England. Mtangazaji wa mpira kutoka Iceland alishindwa kujizuia pale ambapo Arnor Ingvi alizitikisa nyavu katika dakika za majeruhi. Wakati Mtangazaji wa Iceland amefurahi kweli kweli kwa Timu yake kufuzu, Mtangazaji Mreno yeye anaugulia maumivu ya moyo kwa tukio alilofanyiwa na Ronaldo na kumnyang'anya kipaza sauti na kukitupa mtoni.
Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuwasili usiku huu kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Serengeti Boys. Mchezo wa timu hizi mbili utachezwa Juni 26, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hiyo inaingia wachezaji na pamoja na viongozi 25, waamuzi wanne kutoka Ethiopia, ndio watakaochezesha mchezo huo Mchezo wa marudiano kati ya Serengeti Boys na Shelisheli utachezwa Julai 2, huko Shelisheli. Mchezo huo ni wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 michuano itayofanyika nchini Madagasca.

Liverpool imeanza kumwinda mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane katika uhamisho wa kitita cha pauni milioni 30. Mkufunzi wa klabu hiyo Jurgen Klopp anamtaka mchezaji huyo wa miaka 24 kutoka Senegal kuimarisha safu ya mashambulizi na anapanga kuufanya uhamisho wake kuwa wa kihistoria katika kilabu hiyo. Liverpool na Southampton zitaendelea kufanya mazungumzo kuhusu mpango huo huku kitita hicho cha uhamisho kikiwa swala muhimu. Southampton wanadaiwa kutaka pauni milioni 40 kwa mchezaji huyo ambaye alifunga mabao 11 katika mechi 37 alizocheza msimu uliopita. Kitita hicho ni pauni milioni 10 zaidi ya kile kinachopendekezwa kutolewa na Liverpool swala ambalo litahitaji mazungumzo zaidi kabla ya mpango huo kuidhinishwa. Image copyrightAP Image caption Jurgen Klopp Southampton vilevile iko katika harakati za kumsajili mrithi wa Ronald Koeman aliyeelekea kujiunga na klabu ya Everton hatua ambayo huenda ikachelewesha mpango huo. Klopp alipendezwa na Mane ambaye alihusishwa sana na uhamisho wa Old Trafford wakati wa Louis Van Gaal wakati alipofunga mara mbili baada ya Southampton kutoka nyuma 2-0 na kuiadhibu Liverpool 3-2. Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshiriki

Timu ya taifa ya soka nchini Ufaransa imeshinda mechi ya ufunguzi wa dimba la kombe la bara Ulaya baada ya kuinyuka Romania, mabao 2-1, katika uwanja wa Stade de France mjini Paris. Dimitri Payet wa Ufaransa ambaye anaichezea klabu ya West Ham nchini Uingereza alifunga bao la ushindi katika muda wa lala salama. Mshambuliaji wa Ufaransa Olivier Giroud alifunga bao la kwanza kwa kichwa muda mfupi tu baada ya kipindi cha pili kung'oa nanga, na baadaye Romania wakazawazisha kwa mkwaju wa penalti kutoka kwa Bogdan Stancu. Image copyrightGETTY Image caption Euro2016 Usalama umeimarishwa mjini Paris na haswa karibu na uwanja wa Stade de France, ambapo shambulizi baya la kigaidi lilitekelezwa mwaka ulopita.

KIPA Benedictor Tinocco atatolewa kwa mkopo, wakati kiungo Salum Abdul Telela hataongezewa Mkataba Yanga. Habari za ndani ambazo BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE imezipata kutoka Yanga zimesema kwamba maamuzi hayo yamepitishwa na kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm. “Tinocco atatolewa kwa mkopo sehemu ambayo anaweza kupata nafasi ya kucheza, ili kama atapandisha uwezo wake, anaweza kurudishwa, lakini Telela kocha (Pluijm)” kimesema chanzo kutoka Yanga. Bado haijafahamika haswa sababu za Telela kutoongezewa Mkataba, licha ya umuhimu wake wa wazi unaoonekana katika timu kwa sababu ni kiraka anayeweza kucheza kama beki wa kulia, kati na nafasi zote za kiungo.  http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js Fundi Salum Telela ameachwa Yanga SC licha ya kwamba bado ni mchezaji muhimu katika timu Na kuhusu suala la nidhamu, Telela anaonekana ni mchezaji mwenye nidhamu, bidii ya mazoezi na kujituma, ambaye wakati wote anapoingizwa uwanjani licha ya muda mwingi kuwa mchezaji wa akiba hucheza vizuri. Wakati huo huo, Yanga inaendelea kusubiri ofa ya kumuuza mshambuliaji Paul Nonga ambaye ameombwa mwenyewe kuuzwa, ili kwenda timu ambayo atakuwa anacheza. Nonga aliyesajiliwa Desemba kwa dau la Sh. Milioni 20 kutoka Mwadui FC ya Shinyanga ameamua kuondoka baada ya kushindwa ushindani wa namba. Washambuliaji chaguo la kwanza wa Yanga ni Mzimbabwe Donald Ngoma na Mrundi, Amissi Tambwe wakati Nonga alikuwa wa akiba pamoja na Malimi Busungu na Matheo Anthony. Tayari Yanga SC imekwishamuacha kiungo kutoka Niger, Issoufou Boubacar ambaye pia alisajiliwa dirisha dogo Desemba.

 Na Sultani Kipingo Mchakato wa uchaguzi mkuu wa klabu Dar es salaam Young Africans Football Club maarufu kama Yanga ulifanyika kwa utulivu na amani na kumalizika salama jana Jumamosi katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salam na matokeo kamili ni kama ifuatavyo: Mwenyekiti Yusuph Manji (pichani juu) alitangazwa mshindi rasmi wa kiti hicho kwa mara ingine tena baada kuzoa kura zote za ndio isipokuwa mbili tu. Yaani alipata kura 1,468 kati ya 1,470 zilizopigwa huku kura mbili tu zikiharibika. Hakukuwa na kura ya hapana. Manji hakuwa na mpizani kwenye nafasi hiyo. Makamu mwenyekiti Clement Sanga ambaye naye pia alikuwa akigombea nafasi hiyo kwa mara ingine kwa kupambana na Titus Osoro, aliibuka mshindi kwa kujizolea kura 1,428 kati ya 1,508 zilizopigwa. Mpinzani wake aliambulia kura 80 tu. Nafasi za 20 za ujumbe ambazo wagombea waliibuka na ushindi katika uchaguzi huo ni: 1. Siza Augustino Lymo (1027) 2. Omary Said Amir (1069) 3. Tobias Lingalangala (889) 4. Salim Mkemi (894) 5. Ayoub Nyenzi (889) 6. Samuel Lucumay (818) 7. Hashim Abdallah (727) 8. Hussein Nyika (770) Idadi ya wajumbe 12 ambao walishindwa kuibuka na ushindi baada ya kura kutotosha ni: 1. David Luhago (582) 2. Godfrey Mheluka (430) 3. Ramadhani Kampira (182) 4. Edgar Chibura (72) 5. Mchafu Chakoma (69) 6. George Manyama (249) 7. Bakari Malima "Jembe Ulaya" (577) 8. Lameck Nyambaya (655) 9. Beda Tindwa (452) 10. Athumani Kihamia (558) 11. Pascal Lizer (178) 12. Silvester Haule (197) http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js

ne 11 2016 michuano ya Euro 2016 inayofanyika Ufaransa imeendelea kama kawaida, mechi kubwa ya Euro kwa leo ilikuwa ni mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya Urusi, huu ni mchezo ambao ulikuwa unatazamwa na watu wengi kwa Afrika. England walicheza mchezo ambao hadi dakika 90 zinamalizika walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 53, wakati Urusi walikuwa wanamiliki mpira kwa asilimia 47, licha ya kuwa England walikuwa wamiliki mpira walilazimishwa sare ya goli 1-1.